The House of Favourite Newspapers

UHAKIKI RIWAYA: WATOTO WA MAMA N’TILIE (sehemu ya nne)

0
watoto-wa-mamantilie wahusika
Watoto wa Mama N’tilie

WAHUSIKA (watoto-wa-Mamantilie wahusika)

Mama N’tilie

  • Mama yake Peter na Zita
  • Mke wa mzee Lomolomo
  • Mlezi mzuri wa familia

Mzee Lomolomo

  • Mume wa Mama N’tilie
  • Baba yake Peter na Zita
  • Mlevi

Peter

  • Mtoto wa Mama N’tilie
  • Amekosa elimu kwa sababu ya umasikini
  • Ana bidii na ni mchapakazi

Zita

  • Mtoto wa Mama N’tilie
  • Anakosa elimu kwa sababu ya umasikini
  • Ni mchapakazi

Doto

  • Ni mtoto wa mtaani
  • Ni mgomvi na katili… SOMA ZAIDI
Leave A Reply