The House of Favourite Newspapers

UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI (4)

0

WAHUSIKA

WAHUSIKA.

 

Sekai.

  • Mama yake na Takadini.
  • Ni jasiri. Haogopi chochote, anatoroka na mwanaye na kupambana mpaka mwisho. Hatimaye anashinda mitihani yote aliyopitia.
  • Ni mwanamke anayefaa kuigwa na jamii.

Takadini.

  • Ni mhusika mkuu.
  • Anazaliwa akiwa na ulemavu wa ngozi. Baaye anapata ulemavu wa mguu.
  • Ni mfano wa watoto wanaonyanyasika katika jamii kwa sababu jamii haina elimu ya kutosha juu ya haki za walemavu.

Mzee Makwati.

  • Ni baba yake na Takadini.
  • Ni mkare aliyeshikilia mila kandamizi ambazo zinawanyima haki ya kuishi watu wenye ulemavu.
  • Hana upendo wa kweli kwa mwanaye Takadini.

Shingai.

  • Ni msichana mwanamapinduzi. Wakati watu wengine wakimnyanyapaa mlemavu wa ngozi Takadini, yeye anakubali kuolewa naye kisha anamzalia mtoto. Mtoto huyu anaibua minong’ono katika jamii, watu wanastaajabu Takadini kupata mwana ambaye hakuwa na ulemavu wa ngozi… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

===

Usipitwe na Matukio, Download na Install ==> Global Publishers App

Leave A Reply