Haya utayapata katika Gazeti la Ijumaa Wikienda Nov 23, 2015
MIMBA YA JOKATE YAZUA BALAA!
-Familia yashtushwa, yanena mazito!
-Jokate atoweka, Ali Kiba kimyaaa!
-Unataka kujua ni balaa gani hilo?
BARAZA LA DK.MAGUFULI, WABUNGE MATUMBO JOTO!
-Unajua baraza lake litakavyokuwa?
-Je, ni wabunge gani matumbo joto?
HAWA NDIYO WABUNGE 15 ‘VISU’
-Unataka kuwajua ni akina nani hao?
-Je, wanatokea vyama gani?
DUDE ALIZWA KILA KITU!
-Chanzo cha kulizwa ni nini?
-Je, ilikuwaje mpaka akalizwa?
KUYAJUA YOTE HAYO, JIPATIE NAKALA YAKO YA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA NOVEMBA 23, 2015


