×

Taswira ya Papa Francis akiwa katika Ikulu ya Kenya jana

PAPA (2)Kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis akihutubia Taifa la Kenya jana Ikulu.

PAPA (20)….Akiendelea kuongea na wananchi wa Kenya.

PAPA (16)…Akisalimiana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

PAPA (3)…Akiwa na Rais wa Kenya Kenyatta na mke wake Margaret Kenyatta

PAPA (6)Rais Kenyatta akiongea jambo.

PAPA (10)…Wakipeana mikono.

PAPA (14)PAPA (13)

1 Comment

Leave a Comment