×

Ben Pol ampaisha director toka Sauzi

11887177_1604427703155107_1864496870_nMkali wa muziki wa RnB nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’.

Mkali wa muziki wa RnB nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’ameonesha dhahiri kumkubali mtayarishaji na mtengezaji wa video toka Sauz, Justine Campos kwa kufanya vyema video ya wimbo wake mpya wa Ningefanyaje aliyomshirikisha msanii Avril wa Kenya.

Akichonga na Showbiz, Ben Pol alisema anajivunia kufanya kazi na mtayarishaji huyo wa kimataifa mwenye jina kubwa Sauz.

“Jamaa nimkali kaitendea haki video ya wimbo wangu, mashabiki na wadau wangu wakae mkao wa kula kwa kuitazama video hiyo kali,” alisema Ben Pol.

Leave a Comment