×

Koffi wa Selfie atua Dar

12311321_1004662866243798_3950792746076726124_n12342523_1004892959554122_3208336349537672418_nKoffi Olomide akiongea na wanahabari baada ya kutua jioni ya jana Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar

https://www.youtube.com/watch?v=9fYV6ul5Mrc

Koffi Olomide amaeshatua jijini  Dar tangu jana usiku kilichobaki ni burudani siku ya kesho Escape One jijini Dar.  Kama bado hujapata tiketi yako sogea maeneo yafutayo kujichukulia tiketi yako kwa Tsh 50, 000 tu;

MLIMANI CITY – SHEAR ILLUSION

SHAMOOL HOTEL (Sinza)

OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP MIKOCHENI

BREAK POINT (KINONDONI)

ROBBY ONE

BORN TO SHINE

Leave a Comment