Mkurugenzi wa Sensa ya watu na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo (kushoto) akisoma taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
Kwesigabo akionesha msisitizo wa jambo huku kulia kwake akiwa na Kaimu Meneja Idara ya Takwimu za Ajira na Bei, Ruth Minja.
Viongozi hao wakisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani).
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.


(PICHA NA DENIS MTIMA/GPL)