Airtel wafanya usafi Songea kuitikia wito wa Rais Magufuli
Global Publishers December 9, 2015 0 Comments
SHARE THIS:
Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel mkoani Songea wakifanya usafi leo katika hospitali ya wilaya ya Nzega Ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali hapa nchini.