Kala jeremiah na swahiba wake, Roma Mkatoliki wakifanya yao jukwaani.
Msanii Tuen akikamua
Diana Nyange akikonga nyoyo za mashabiki jukwaani
Banana Zoro akipozi na msanii Majoo Black
Izzo B akifanya yake.
Wasanii wa Bongo Movie, Shamsa Ford akiwa na Niva
Mashabiki wakipata vinywaji
Msanii Nuruelly akitumbuiza
Wadau wakipiga fotoo red carpet.
Kala akicheza wimbo wake mpya uitwao Malkia
Kala na Roma wakiwa kwenye pozi
Red carpet pakihapeni
Msanii wa Bongo Fleva, Kala Jeremiah jana amefanya uzinduzi wa video yake ya wimbo wa Malkia. Uzinduzi huo ulifanyika Club Billicanas iliyopo Posta jijini Dar na kuhudhuriwa na wasanii wa muziki na filamu za kibongo.
Na: Gabriel Ng’osha na Clarence Mulisa-GPL.