Ommy Dimpoz kuitambulisha ‘Achia Body’ Global Publishers December 16, 2015 0 Comments SHARE THIS: MKALI wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz, Ijumaa hii amepanga kufanya utambulisho wa video yake mpya ya Wimbo wa Achia Body . Utambulisho huo umepewa jina la Dimpoz Lush na utafanyikia Akemi- Golden Jubilee Tower iliyopo Posta jijini Dar. SHARE THIS: