Muonekano mpya wa Yemi Alade Global Publishers December 20, 2015 0 Comments SHARE THIS: STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa. Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi. SHARE THIS: