×

Wachimbaji wadogo wa Tanzanite wapinga kufungiwa migodi yao

8c6650e7-7156-45ae-b006-02e64a1bc497Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Omary Mandari akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa kufanya kazi.38941dfc-84bd-4129-bf67-bb25162cfbdeMwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Zephania Joseph akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa kufanya kazi.aa41fa24-b248-4fee-a6cf-30b9a9912bd6Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye mkutano wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini (Marema) Tawi la Mirerani, ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa.

Leave a Comment