×

Ile Albamu ya Big Sean sasa imeiva

PushaT_Nico_SKGZ_0006Pusha T

RAPA na Meneja wa lebel ya G.O.O.D Music, Pusha T amethibitisha kuwa album mpya ya Big Sean inaelekea kukamilika na itatolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka 2016.

big-sean-discographyBig Sean

Big Sean alishika nafasi ya juu kwenye chati na albamu yake ya tatu ya Dark Sky Paradise mwaka huu.

Kwa upande wake Pusha T alisema anaprojekti ya kuitangaza albamu yake mpya ya King Push – Darkest Before Dawn iliyoshika namba 20 kwenye billboard katika wiki yake ya kwanza, projekti itayomalizika Aprili kwenye miji ya Los Angeles, Atlanta, Philadelphia, New York, Boston, and Chicago.

Leave a Comment