
Msanii Mkongwe wa muziki wa R&B Belle 9 akikonga nyoyo za mashabiki kwenye shoo ya usiku wa ‘Love Potion Night’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ‘ Sky Night Life’ Masaki jijini Dar es Salaam(kushoto) ni Jux.

Msanii Bela Kombo akifanya yake.

Jux akiwarusha mashabiki waliofurika kwenye shoo hiyo.

Belle 9 akizidi kunogesha kwenye onyesho hilo.

Staa wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiteta jambo na Muna.



Shamsa Ford akifanya yake.


Mastaa kibao walikuwepo kwenye shoo hiyo.
(Picha:Mussa Mateja\GPL)