×

Skylight Band wafunika Maisha Basement

IMG_0077

Waimbaji wa Skylight Band wakifanya yao ndani ya Maisha Basement usiku wa kuamkia leo. IMG_0098 IMG_0102 IMG_0106 IMG_0108

Mashabiki mbalimbali wakiendelea kucheza nyimbo za Skylight Band ndani ya Maisha Basement Chini kwa Chini.

IMG_0130 IMG_0163

Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kufanya makamuzi.

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

Leave a Comment