Staa wa Nigeria, Davido

Staa wa Hip Hop kutoka Marekani, Young Thug
STAA wa muziki kutoka Nigeria, Davido anaonekana kuendelea kuliteka soko la kimataifa baada ya kuthibitisha kutaka kufanya kolabo na staa wa Hip Hop kutoka Marekani, Young Thug.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter, Davido aliachia kipande cha video kikimuonesha akichat kwa video na msanii huyo.
OBO X @youngthug SLIME SZN pic.twitter.com/PUKDhEF3O4
— Davido (@iam_Davido) February 25, 2016
OBO X @youngthug SLIME SZN pic.twitter.com/PUKDhEF3O4
— Davido (@iam_Davido) February 25, 2016
Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL