×

JK azindua rasmi ligi ya mpira wa kikapu

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  DK. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana (Junior NBA), jana jijini Dar es Salaam. 
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  DK. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, jana jijini Dar es Salaam.
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  DK. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wadau mbalimbali wa mpira wa kikapu (NBA) juu ya timu bora nane kutoka kila kundi zitakazofuzu kushiriki kweye ngazi ya mitoano  Oktoba 2016. Timu bora mbili kutoka kila kundi zitakutana kwenye michezo kuwania ubingwa ili kumpata bingwa wa kwanza wa ligi ya mpira wa kikapu kwa vijana,  katika uzinduzi wa Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana, jana jijini Dar es Salaam.
 Rais Mstaafu DK. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mchezaji Mwandamizi wa (WNBA) Allison Feaster, jana jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya mashabiki wa  mpira wa kikapu waliofika katika uzinduzi wa Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana, jana jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)

Leave a Comment