×

Kampuni ya muziki ya Jay Z, Yashtakiwa

Seabrook-Tidal-1200

Kampuni ya muziki ya Tidal inayomilikiwa na nyota wa muziki wa Rap, Jay Z imeshtakiwa katika kesi ya milioni 5 kwa kukiuka sheria ya hati miliki.

27tidal-master675Kwa mujibu wa hati za mahakama moja ya New York ni kuwa Yesh Music na John Emanuele kutoka bendi ya American Dollar ambapo Tidal ilishindwa kulipia nyimbo 270 za bendi hiyo.

Kampuni ya Tidal ilizinduliwa mwaka 2014 na kampuni moja ya Kiswedish na Norway.

Mnamo mwezi Machi mwaka 2015 Jay Z alinunua kampuni hiyo kwa milioni 56.

Leave a Comment