×

Jahazi yapagawisha Dar Live

4Mzee Yusuf akiimba huku akinengua ndani ya Dar Live.

1   Hadija Yusuf naye akiimba.

2  Twaha  Malove nae akiwapagawisha mashabiki.
3   Fatma Mcharuko akiimba na kuserebuka.
5   Mzee Yusuf akicheza na wanenguaji wake.
6   Amigo (mwenye shati jeupe) akiimba huku akiserebuka na wanenguaji hao.
7   Mashabiki waliofurika ukumbini humo wakiserebuka.
8   Baadhi ya mashabiki waliovamia jukwaa wakicheza na wanenguaji wa bendi hiyo.
9   Jukwaa la Dar Live likiwa limempandisha mwimbaji Amigo juu kabisa huku akiendelea kuimba.
10  Baadhi ya waimbaji wakiwajibika jukwaani.

Bendi ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo ilifanya onyesho katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam na kuwapagawisha mashabiki kibao waliojitokeza kiasi cha kuwafanya baadhi yao wasitulie katika viti vyao.

Mtandao huu ulikuwepo sambamba na bendi hiyo ili kuhakikisha unakupa A-Z ya matukio yaliyojiri katika ukumbi huo wa kisasa.

Picha/ Issa Mnally / GPL

Leave a Comment