
MREMBO anayetikisa na umbo matata katika mitandao ya kijamii, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’, amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake ambaye ni raia wa Nigeria aitwaye John.
Tukio hilo la uvishwaji wa pete kwa lilifanyika katika Ukumbi wa Dhamila ulioko Mkoani Mbeya, na kushuhudiwa na ndugu na jamaa zao wa karibu majira ya saa nne usiku wa Julai 18.2020.
