×

Serikali Kupambana na Tatizo la Usonji

SAM_7205Naibu Waziri wa Sayansi na Tekinologia,  Injinia Ester Manyanya akihutubia. SAM_7209Manyanya akiendelea kuhutubia wanafunzi, na wadau kuhusu tatizo la usonji.SAM_7220… akimsaidia kumsukuma mtoto mwenye usonji.

SAM_7221Maandamano ya maadhimisho hayo.

SAM_7229

SAM_7232   SAM_7255

Naibu Waziri wa Sayansi na Tekinologia,  Injinia Ester Manyanya  leo amehudhuria maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Usonji ambayo hufanyika Aprili, 2 kila mwaka nchini.

SAM_7239

Maadhimisho hayo yamefanyika  katika Viwanja vya Shule ya Al Muntazari, Ukonga jijini Dar yakihudhuriwa na wadau mbalimbali.

SAM_7240

Hata hivyo mgeni rasmi, Waziri Manyanya alisema pamoja na gharama kubwa ya kuwasomesha watoto wenye tatizo la usonji lakini serikali imejipanga kupambana na watu wanaowanyanya sawa watu wenye usonji pamoja na kuwanyanyasa.

SAM_7279

“Usonji ni ugonjwa kama magonjwa mengine na si laana kama watu wanavyodhani, serikali itapambana vikali na watu wanaowanyanyapaa pia wana haki ya kupata elimu kulingana na mahitaji yao kama watu wengi,” alisema waziri Manyanya ambaye alimuwakilisha Makamu wa Rais, Samia Suluhu.

SAM_7287Manyanya akihojiwa na wanahabari (hawapo pichani).SAM_7174

Kikundi cha Skauti ya watoto wa Shule ya Al Muntazari, Ukonga jijini Dar.

NA GABRIEL NG’OSHA/GPL

Leave a Comment