×

Shuhudia picha 5 za harusi ya Roma Mkatoliki, Tanga

IMG-20160410-WA0006

Roma Mkatoliki alifunga ndoa April 9 2016 Jijini Tanga na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye wamefanikiwa kupata mtoto mmoja aitwaye Ivan.IMG-20160410-WA0005

Wakionyesha Pete kama ishara ya kuwa pamoja hadi kifo kitakapo watenganisha.

IMG-20160410-WA0002….Wakifurahia baada ya tukio hilo.

IMG-20160410-WA0003IMG-20160410-WA0001

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliohudhulia harusi hiyo.

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, INGIA NA LIKE PAGE YA FACEBOOK YA ERIC SHIGONGO===>https://www.facebook.com/shigongotz/

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA TUFOLLOW

INSTAGRAM===>https://www.instagram.com/globalpublishers/

TWITTER===>https://twitter.com/GlobalHabari

FACEBOOK===>https://www.facebook.com/GlobalPublishers

YOU TUBE===>https://www.youtube.com/user/uwazi1

 

Leave a Comment