×

Simba yanaswa ikijiwinda dhidi ya Toto leo

SIMBA SC (1)

Walianza hivi.

SIMBA SC (2)

Kocha Mayanja akionesha kwa mifano jinsi anavyotaka.

SIMBA SC (3)

Ibrahim Ajib ‘Kadabra’ akijaribu kufuata maelekezo ya kocha.

SIMBA SC (4)

Said Ndemla (kulia), Said Issa wakitifuana kwenye mazoezi hayo.

SIMBA SC (5)

Hija Ugando aliyeruka na Jonas Mkude wakiwania mpira huku Novatus Lufunga akijiandaa kutoa msaada.

SIMBA SC (6)
Wachezaji wakipiga tizi.

KIKOSI cha Simba leo kimenaswa kikiendelea na mazoezi kwenye Kambi ya JKT – Mbweni iliyopo nje kidogo ya Jiji la Dar chini ya kocha wake, Jackson Mayanja raia wa Uganda.

Kikosi hicho baada ya kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho na Caostal Union ya Tanga kinajiwinda na mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Toto Africans ya jijni Mwanza keshokutwa Jumamosi.

(HABARI/PICHA : RICHARD BUKOS /GPL)

Leave a Comment