
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Mawakala Wauza Magazeti katika Ukumbi wa Traventine jijini Dar, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo.
RC. Makonda akiendelea kuzungumza.

Wanaumoja huo waliokuwa wakigombea nafasi mbalimbali za uongozi wa umoja huo.
Baadhi wa wajumbe waliohudhuria kwenye hafla hiyo.
Wagombea wakiwa mbele.
Wagombea wakionesha namba zao ili kujinadi wapigiwe kura.
Kura zikihesabiwa.
Majina ya washindi ni yale yaliyojazwa idadi ya kura kwa wino.
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paulo Makonda leo amezindua Saccos ya Umoja wa Mawakala Wauza Magazeti katika Ukumbi wa Traventine jijini Dar amabapo kwenye hafla hiyo pia Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers & Ent. Ltd, Eric Shigongo alihudhuria.
Mbali na kuzindua Saccos hiyo, pia kulifanyika uchaguzi wa kuupata uongozi wa um0ja umoja huo ambapo wajumbe 14 bwalichuana na kufanikiwa kupata watu 9 watakauongoza umoja huo. Waliochaguliwa ni Mwenyekiti, Abdurahman S. Kapaka na katibu wake ni Boniphace Rubisha.
PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779
1 Comment