MWANAMITINDO Chrissy Teigen, juzi kati aliwaonesha mashabiki wake mwanaye aliyempa jina la Luna Simone Stephens ambaye alijifungua April 14, mwaka huu.
Chrissy amekuwa tofauti na mastaa wengine kwani ilitegemewa kuwa atamficha mwanaye kama walivyofanya akina
Kim Kardashian na Beyonce ambao waliwaonesha watoto wao baada ya muda mrefu kupita.
Chrissy alitupia picha inayoonesha mwili wa mwanaye na nywele ambapo aliandika ujumbe kwa mashabiki wake uliosomeka; ‘Lulu wangu’. Picha hiyo ilimuonesha akimshangaa mtoto huyo ambaye alikuwa amempakata kwenye mapaja yake huku pembeni kukiwa na mbwa wake anayempenda.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
