×

Utata Nyumba Mpya ya Diamond!

Diamondss-2.jpg Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’

Na Musa Mateja, Ijumaa
Dar es Salaam: Habari ‘hot inayotrendi’ kwa sasa ni kuhusu staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kununua mjengo mpya ambapo siku chache baadaye umeibuka utata juu ya mmiliki halali wa nyumba hiyo.NYUMBA (1)Nyumba inayosemekana kununuliwa na Diamond.

  • MSHANGAO
    Chanzo chanyetisha kumbe Diamond hakuinunua yeye nyumba hiyo.
  • Ijuma lamuanika aliyeinunua.

NYUMBA (2)

  • MKWANJA KWA TIFFAH
  • Aliyeinunua asema mkwanja utakaoingia kutokana na nyumba hiyo uingizwe kwenye akaunti ya ‘Tiffah’.

TIFAA1Mtoto wa Diamond, Tiffah

  • DIAMOND ANASEMAJE?
  • Utata mwingine, Diamond adai kununua kwa takribani Sh. mil. 120 wakati dalali alitangaza inauzwa mil.100.
  • Diamond afunguka kila kitu kuhusu, adai yeye ndiye kainunua.
  • Afafanua alivyogharimika mil. 120 kuinunua nyumba hiyo, badala ya mil 100 zinazosemwa .

NYUMBA (3)

  • NYUMBA ZA DIAMOND
    Diamond aanika nyumba zake zote ikiwemo ya Sazui.

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave a Comment