Baadhi ya waombolezaji wakipita pembeni ya jeneza kutoa heshma za mwisho.
Stori: Waandishi wetu, Risasi Jumamosi
DAR ES SALAAM, MOROGORO: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Joachim Liyumba (68), amepumzishwa jana kwenye Makaburi ya Mahenge, Ulanga, Morogoro huku gumzo kuu likiwa siri aliyokwenda nayo kuhusu Daudi Balali.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Joachim Liyumba.
- ILIKUWAJE?
- Daudi Balali na Liyumba wote wamewahi kufanya kazi Benki Kuu.
- Baadhi ya watu waliomfahamu wamesema kuwa, anazikwa huku yeye akiwa miongoni mwa watu waliokuwa na ukweli wa Balali kwamba alifariki dunia au la!
- “…Balali alikuwa rafiki mkubwa wa Liyumba licha ya kufanya kazi pamoja….. Balali alidaiwa kufariki dunia mwaka 2008, kesi ya Liyumba ilikuwa mwaka 2010, kama kweli alijua alikufa kwa nini alitaka aitwe mahakamani?
- “…..Liyumba naye ni miongoni mwa watu waliokuwa wanaujua ukweli wa Balali kwamba alifariki dunia kweli au kifo chake ni cha maigizo ili kumficha na mkono wa sheria,” alisema mwombolezaji huyo.
Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Marehemu Daudi Balali.
- LIYUMBA AACHA WOSIA, AKIFA MWILI WAKE USIONWE NA KILA MTU
- Wosia uliotolewa na ndugu wa marehemu Liyumba kwamba, alisema akifa mwili wake usionwe na kila mtu uliwashangaza baadhi ya ndugu msibani hapo.
- Risasi Jumamosi pia lilikumbana na sintofahamu nyingine baada ya kumuuliza mtu mmoja aliyesema ni ndugu wa Liyumba kuhusu idadi ya watoto wa marehemu.
- Kesi za Liyumba kuhusu kuhujumu uchumi wa nchi hadi alipofungwa jela.
- Waandishi: Oscar Ndauka na Dustan Shekidele.
- Kufahamu undani wa yote haya jipatie nakala ya Gazeti la Risasi, Jumamosi hii.
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA RISASI, LEO April 23, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

