×

Miss Dar city center Talent ilivyofana jana

6-001

IMG_6721-001

IMG_6840-001

IMG_6841-001

IMG_6843-001

IMG_6847-001

IMG_6852-001

IMG_6857-001 IMG_6860-001 

1-001

IMG_6917-001

IMG_6895-001

IMG_6912-001

IMG_6864-001

majaji wakifuatilia kinyang'anyiro-001majaji wakifuatilia kinyang’anyiro

IMG_6728-001

 

mashabiki-001

IMG_6812-001Mashabiki

Mshindi wa Tarent Miss Dar City Center, 2016 Sporah Luhende akiwa kwenye pozi-001Mshindi wa Tarent Miss Dar City Center, 2016 Sporah Luhende akiwa kwenye pozi

HATIMAYE shindano la kumtafuta Miss Dar City Centre Talent limefanyika jana katika Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar.

Katika kinyang’anyiro hicho, kilichoshirikisha warembo kibao hatimaye mrimbwende Sporah Luhende aliibuka mshindi wa kipaji baada ya kuimba Wimbo wa Mahaba Niue wa msanii Maua Sama.

Kilele cha shindano hilo la warembo linatarajiwa kuwa Mei 21, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Golden Tulip City Centre.

Shindano hilo limedhaminiwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba  inayoendeshwa kupitia Magazeti ya Championi, Ijumaa, Risasi, Amani, Uwazi  ambapo droo ya ndogo ya bahati nasibu hiyo itachezeshwa Mei, 18  na droo kubwa yenye ushindi wa nyumba itachezeshwa mwezi ujao.

Na waandishi wetu/GPL

Leave a Comment