Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi Salum akifika kwenye gesti hiyo.
Stori: Salum Yassin, IJUMAA
DAR ES SALAAM: Kasi ya Magufuli! Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Ally Hapi Salum (pichani) amevamia gesti moja iliyopo Manzese Tip Top jijini Dar baada ya mwananchi mmoja kumpa malalamiko ya kuwepo kwa akina dada wanaojiuza ‘machangudoa’ na vibaka, Ijumaa liko bega kwa bega.
Ndani ya gesti hiyo.
Tukio hilo la aina yake lilijiri juzi kwenye gesti hiyo iliyopo ndani ya baa maarufu ya Lambo ambapo mkuu huyo wa wilaya alikuwa katika kamatakamata ya wafanyabiashara wanaodaiwa kuficha sukari maeneo ya Manzese zoezi ambalo pia liko nchi nzima.
IJUMAA LIMEANIKA TUKIO ZIMA
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
