STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA
DAR ES SALAAM: Staa wa kitambo ambaye ni tunda la Kaole Sanaa, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa watu wengi ‘wanamdiskasi’ kuwa hamwaniki mpenzi wake lakini ukweli ni kwamba ishu hizo hazifagilii.
Akizungumza na gazeti hili, Johari alisema kuwa hakuna mwanamke ambaye anakosa mpenzi hususan kwa umri wake lakini hapendelei kumweka hadharani na wala hana tatizo.
“Sipendi kwa sababu kuna kipindi watu walikuwa wanasema natoka na Ray (Vincent Kigosi) lakini hawajahi kuona namweka kwenye mitandao,” alisema Johari ambaye ni Boss Lady wa RJ Company.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
