Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Mei 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)