×

Diamond Afanya Kufuru Kwenye Birthday ya Cookie (Video)

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ majuzi alionyesha jeuri ya fedha baada ya kumwaga minoti ya dola na rand katika birthday ya mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo aitwaye Cookie.

Katika sherehe hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar, Cookie alikuwa akitimiza umri wa mwaka mmoja tangu azaliwe.

Angalia video hiyo hapa chini;

Leave a Comment