×

Muswaada wa Mahakama ya Mafisadi Watua Bungeni Leo

RaisahutubiaBungelaKatiba1

SERIKALI kupitia Wizara ya Katiba na Sheria leo imewasilisha bungeni Muswaada wa uanzishwaji wa Mahakama ya Mafisadi nchini ili ujadiliwe.

Imeelezwa kuwa, kwenye Mahaka  Kuu kutakuwa na Kitengo Maalum ambacho kitashughulikia kesi kubwa za rushwa kubwa na wahujumu uchumi.

Leave a Comment