Wanachama wa klabu ya Yanga wakipiga kura.
Mwanachama mwenye ulemavu akisaidiwa kupiga kura.
Akina mama nao hawakuwa nyuma kuhakikisha wanapiga kura kuchagua viongozi wanaowataka.
Zoezi la upigaji kura likiendelea.
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akipiga kura yake.
Manji akihojiwa na wanahabari.
Manji akisalimiana na Fafma Karume.
Manji akiwaaga wanachama na kuondoka ukumbini hapo baada ya kupiga kura.
Zoezi likiendelea.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL