×

Demu ampiga kibuti Mr. Flavour

Flavour-BN-2015-1Mr. Flavour

MISS Nigeria 2012 ambaye pia ni staa wa filamu Nollywood, Anna Banner kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa amempiga ‘chini’ bwana wake ambaye ni staa wa muziki kutoka Naija, Mr. Flavour. Anna ambaye amezaa na Mr. Flavour mtoto mmoja, ameelezea kuwa sababu kubwa ya kumtema bwana wake huyo ni tabia ya usaliti uliopitiliza.

Anna-Banner-onAnna Banner

“Kwanza kabisa, mimi na Flavour hatupo katika uhusiano tena. Hatuko pamoja. Niliongea peke yangu na kuamua kuwa imefi ka muda wa kufanya shughuli zangu nyingine. Sikutambua kama Flavour atakuja kunisaliti kwa kutembea na mwanamke mwingine na kuzaa naye,” alisema Anna.

Flavour anadaiwa kutembea na Anna pamoja na Sandra Okagbue kwa kipindi kimoja ambapo wote amezaa nao bila kujuana.

Leave a Comment