×

In Edo adaiwa kufilisika, ang’aka!

ini edooIn EdoAndrew Carlos na Mtandaoini

MKONGWE wa fi lamu asiyechuja kutoka Nollywood, In Edo hivi karibuni ‘alitokwa povu’ baada ya kudaiwa kufi lisika adaiwa kufilisika, ang’aka! na kufi kia hatua ya kufunga hoteli yake ya Mimz.

Mashabiki wengi walimtafsiri kuwa amefi lisika kutokana na hali ya kiuchumi kuyumba nchini kwao ambapo mastaa wengi wamefunga biashara zao kutokana na kushindwa kuziendeleza. Baada ya Ini kuingizwa kwenye mkumbo huo alitokwa povu kwa kujitetea;

“Nimesikia hili kwa mara ya kwanza. Sijaelewa kwa nini wanasema hivyo. Inakuwaje mtu akuongelee biashara yako uliyofungua. Mimz nilifungua Septemba mwaka jana na tangu hapo inafanya vizuri. Sehemu ipo barabarani wanaweza kwenda na kuhakikisha.”

Leave a Comment