×

Mkutano Mkuu wa Mwaka wa GEPF Wafanyika Jijini Mbeya

GEPF (1)  
Baadhi wa wakurugenzi kutoka mashirika ya Hifadhi ya Mifuko ya Jamii waliohudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF mkoani Mbeya. Wa kwanza kushoto ni Bw. Clenceius Magori kutoka NSSF.

GEPF (3)
Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akizindua rasmi huduma mpya kutoka GEPF ya Fao la Hiari kwa waendeshaji bodaboda jijini Mbeya.

GEPF (4)
Picha ya pamoja kati ya Mkurugenzi Mkuu wa GEPF akiwa na mgeni rasmi Mhe. Makalla  pamoja na umoja wa waendesha bodaboda na bajaj katika Jiji la Mbeya.

1

Picha ya pamoja kati wa mgeni rasmi na wawakilishi wa mifuko ya pensheni mbalimbali.

2 3 4

Mgeni rasmi Mh. Amos Makalla akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wanachama na wachangiaji hodari wa Mfuko wa GEPF kwa mwaka ambapo Jeshi la Magereza na Jeshi la Polisi wameongoza katika kuchangia michango ya wanachama wao.

5

Baadhi ya wanachama na Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa GEPF wakifuatilia kwa makini hotuba ya mwenyekiti wa mfuko huo.

6

Mgeni rasmi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla (katikati), kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daudi Msangi na Kulia kwake ni mwenyeketi wa bodi ya GEPF.

7

Mkurugenzi Mkuu wa Climac Tanzania Ltd, ambaye pia ni Meneja Biashara wa Rose Ndauka, Innocent Mafuru (kushoto) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa GEPF unaoendelea jijini Mbeya. Kushoto kwake ni Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, mwigizaji maarufu Rose Ndauka.

8

Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Mwigizaji maarufu katika Tasnia ya Filamu Tanzania,  Rose Ndauka akifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi katika mkutano huo.

Leave a Comment