Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakibeba vyakula wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.PICHA NA MPIGAPICHA WETU
Meneja wa Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kushoto) akigawa vyakula kwa wanawake waislamu, wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation,walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.PICHA NA MPIGAPICHA WETU
Mkazi wa Bagamoyo mjini,Mwanaidi Mwela (wapili kulia)akiweka mfuko wa maharage kwenye kapu lake baada ya kukabidhiwa msaada wa vyakula mbalimbali na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom, wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwenye kaya 100 za mjini humo uliofanywa na wafanyakazi hao kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation, walipojumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake hapo jana.
Mkuu wa Vodacom Tanzania Foundation, Renatus Rwehikiza (wa pili kushoto) na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (wa tatu kushoto), wakigawa vyakula kwa Waislamu wa Bagamoyo, wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkazi wa Bagamoyo, Mohamed Ammer Maki (kulia) akifurahia msaada wa vyakula, wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.