×

Uzinduzi Mafunzo wahitimu kidato cha sita yafana Dar!

????????????????????????????????????

Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akikata upete kuzindua mafunzo kwa wahitimu kidato cha sita.

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????
Dkt. Leonard Akwilapo akihojiwa na wanahabri baada ya uzinduzi wa mafunzo ya wanafunzi waliohitimu kidato cha sita.

????????????????????????????????????

Mhitimu akiuliza swali kwa watoa mada kutaka kupata ufafanuzi wa jambo.

Masha akiongea na wahitimu hao.

Sokia Sabath, Afisa Udahili TCU akizungumza na wahitimu wa kidato cha sita kufahamu namna ya kuchagua masomo yao ya kuwapelekea Chuo Kikuu wanapokuwa wamechaguliwa.

Sokia Sabath, Afisa Udahili TCU akizungumza na wahitimu wa kidato cha sita kufahamu namna ya kuchagua masomo yao ya kuwapelekea Chuo Kikuu wanapokuwa wamechaguliwa.

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

Mafunzo hayo yamefanyika leo katika Ukumbi wa Nkurumah uliopo katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam,(UDSM) yakiwalenga kuwaandaa kwa ajili ya kuelekea elimu ya Chuo Kikuu.
Miongoni mwa wazungumzaji wa mafunzo hayo walikuwa ni mbunge wa zamani wa Jimbo la Nyamagana, Lawrence Masha, Mwenyekiti wa Tanzania Youth Patriots, Hassan Ngoma, Afisa Udahili TCU, Sokia Sabath,Mkurugenzi wa Msichana Initiative, Rebeca Gyumi na wengine wengi.
Akizungumza katika mafunzo hayo, Dkt. Akwilapo alisema kuwa anaimani mafunzo hayo yatakuwa na tija kwa wahitimu hao kwani watapata maarifa na ufahamu wa jinsi ya kuchagua aina ya mafunzo ambayo yatawafaa katika maisha yao.
“Ninyi wahitimu mtambue kwamba mna nafasi ya kuchagua kati ya fani uliyo na uwezo nayo na kuipenda pasipo kuiga mwenzio kachagua nini,” alisikika akiwaeleza wahitimu hao.
Mafunzo hayo yatendelea tena kesho katika ukumbi huo ambapo miongoni mwa watu wanaotarajiwa kuzungumza ni mjasirimali na mhamasishaji mashuhuri nchini, Eric Shigongo.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave a Comment