Kiongozi Mkuu wa Waislam, Dhahebu la Shia Ithnasheriya Tanzania, Sheikh Hemed Jalala leo amewaongoza Waislamu wa Dhehebu ya Shia na wasio Waislamu nchini katika matembezi ya amani katika kuazimisha Siku ya Kimataifa ya Wapalestina.
Matembezi hayo yamefanyika kuanzia Ilala Boma hadi Uwanja wa Tipo uliopo Kigogo Post jijini Dar, kwa lengo la kupinga dhuluma, unyanyasaji, unyama na ukandamizwaji kwa kwa Taifa la Kipalestina kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
PICHA GABRIEL NG’OSHA/GPL
















