

Ederakibebwa na golikipa wake, Eduardo Carvalho baada ya kufunga bao la ushindi.
Renato Sanches (kushoto) na Ronaldo wakiwa kwenye pozi tofauti wakati wa kusherehekea ubingwa huo.
Wachezaji wa Ureno wakimbeba kocha wao, Fernando Santos baada ya ushindi kwenye uwanja wa Stade de France.

Kapteni wa Timu ya Taifa ya Ureno, Ronaldo akiwaongoza wenzake wakti wa kukabidhiwa kombe.














