
Katika kundi hilo, kinara ni TP Mazembe wanaoongoza wakiwa na pointi sita wakifuatiwa na MO Bejaia wenye pointi nne wakati Medeama wakishika nafasi ya tatu kwa kuwa na pointi moja huku Yanga wakiburuza mkia wakiwa hawana pointi.
PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL