×

Pichaz: Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa Zanzibar

Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe jana aliuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake Anna Mtura aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zilifanyika mjini Nungwi visiwani Zanzibar.
hongera hongera1

Leave a Comment