×

Wasomaji wa Magazeti Pedwa Wang’ara na Uwazi, Leo Jijini Dar

Timu ya masoko na usambazaji iliyoongozwa na Ofisa Masoko Jimmy Haroub, leo ilitembelea mitaa mbalimbali ya jijini Dar ikiwemo Makumbusho, Tandale, Magomeni na Mabibo ili kukutana na wasomaji wa Gazeti la Uwazi, kuzungumza nao mawili matatu yanayohusu gazeti hilo ili kuliboresha zaidi.

1

Muuzaji wa magazeti ya Uwazi, Mwanvita (mwenye tisheti nyeupe) akiwa pamoja na mteja wa magazeti hayo, Fatma Idd katika Mitaa ya Makumbusho.

2

Edita Mfinanga wa Makumbusho, Dar akiwa na nakala yake ya Gazeti la Uwazi baada ya kujipatia kwa shilingi 500.

3

Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Jimmy Haroub akiwa na mteja wa gazeti la Uwazi, Ally Hassan (aliyekaa), maeneo ya Makumbusho Dar.

4

Habibu Amiri wa Tandale Sokoni, Dar anayejulikana zaidi kwa jina la Bonge akiwa na nakala yake ya Gazeti la Uwazi.

7

 Othuman Ntaita a.k.a Mzee wa Suti wa Mabibo Sokoni, Dar akiwa na nakala yake ya Gazeti la Uwazi akiwa na nakala ya Gazeti la Uwazi.

8

Wasomaji wa Gazeti la Uwazi wa Mabobo Sokoni, Dar wakipitia nakala ya gazeti hilo waliyonunua.

6

Hamad Salum wa Mabibo Sokoni, Dar akiwa amepozi huku anasoma nakala yake ya Gazeti la Uwazi mbele ya muuzaji wa magazeti Mwanvita

7

Msomaji wa Gazeti la Uwazi, Hassan Rashid akiwa na nakala ya Gazeti la Uwazi mkononi

PICHA: BONIPHACE NGUMIJE / GPL

Leave a Comment