Mwananuziki Quick Rocka akijaribu vyombo vya muziki maandalizi ya Mwendo kasi Festival ambayo inafanyika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar leo.
Mwanamuziki G Nako akifanya yake kukinukisha leo.
Muonekano wa jukwaa la Mwendo kasi Festival.
Mwandishi wa Global Digtal, Gabriel Ng’osha akiwa katika viwanjahivyo mchana wa leo.
(PICHA NA GLOBAL DIGTAL/ GABRIEL NG’OSHA, GPL)




