×

Mwanamke na toroli kazini!

MAJI (1) MAJI (2)IKIWA imezoeleka kuwa vijana wa kiume ndiyo wenye wajibu wa kuendesha matoroli ya maji, leo kamera yetu imemnasa mwanadada akifanya kazi bega kwa bega na kijana wa kiume katika kusomba maji maeneo ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Na Denis Mtima/Gpl

Leave a Comment