×

Beanie Man akumbwa na ugonjwa wa Zika Kingstone, Jamaica

BeenieManMwanamuziki Beanie Man amekuwa kwenye hali ngumu kufuatia kukumbwa na ugonjwa wa Zika unaoambukizwa na mbu aina ya Aedes.

Akiizungumzia afya yake hivi karibuni, Beanie alisema kuwa kufuatia kupatwa na hali hiyo alishindwa kuhudhuria shoo mbalimbali ambazo zilikuwa kwenye ratiba yake.

“Ugonjwa wa Zika umenikamata, nimekuwa na hali mbaya ila naendelea vizuri kwa sasa baada ya kupata matibabu, mashabiki wangu ambao walitarajia kuniona jukwaani wanisamehe sana,” alisema mwanamuziki huyo.

Leave a Comment