×

Barcelona Ilivyoichapa Sampdoria 3-2

BARCELONA (1)Kocha wa Barcelona, Luis Enrique akisalimia umati wa mashabiki pmoja na wchezaji na viongozi wa klabu yake jana katika Uwanja wao wa Nou Camp, Hispania.

BARCELONA (2)Kocha mpya wa Argentina, Edgardo Bauza akiteta jambo na Rais wa Barca, Josep Maria Bartomeu.

BARCELONA (4)Suarez, ambaye ni mchezji wa zamani wa Liverpool akiwatoka mabeki wa Sampdoria.

BARCELONA (5)Messi akitaniana na kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets (kulia).

BARCELONA (3) Javier Mascherano akaingilia utani huo.

BARCELONA (6)Messi akifanya yake

BARCELONA (7)Luis Suarez (kushoto) na Lionel Messi wakishangilia bao baada ya kuifunga Sampdoria

BARCELONA (8)Messi akizingirwa na wachezaji watatu wa Sampdoria.

BARCELONA (9)Messi akimpongeza Suarez kwa kufunga bao la kwanza kwenye Uwanja wao wa Nou Camp dhidi ya Sampdoria.

BARCELONA (10)(Kutoka kushoto kwenda kulia) Andre Gomes, Lucas Digne, Samuel Umtiti, Sergi Samper, Denis Suarez na Messi

BARCELONA (11)Wakipongezana baada ya mechi kumalizika

Lionel Messi na Luis Suarez jana waliendeleza ubabe wao baada ya kuichapa klabu ya Sampdoria bao 3-2 ktika uwanja wao wa Now Camp ikiwa ni mechi ya maandalizi kwa msimu ujao wa ligi.

Suarez ndiye alianza kuiandikia bao la kwanza Barca kunako dakika ya 16 baada ya kumalizia assist kutoka kwa Messi. Messi alifunga bao la pili dakika ya 5 baadaye na dakika ya 34 akakazia msumali kwa kutupia nyavuni bao la 3.

Kwa upande wa klabu ya Sampdoria ilifunga mabao yake kupitia kwa Muriel dakika ya 23   na Budimir dakika ya 78.

Kabla ya mechi kuanza, wachezaji wapya wa Barca; Denis Suarez, Samuel Umtiti, Lucas Digne na Andre Gomes walitangazwa rasmi kwenye Uwanja huo wa Nou Camp kwa mashabiki.

MATCH FACTS

BARCELONA: Bravo, Pique, Rakitic, Busquets, Turan, Iniesta , Suarez, Messi, Digne, S. Roberto, Mathieu

Subs:Ter Stegen, Masip, Douglas, Mascherano, Munir, D. Suarez, Mujica, Samper, Camara, A.Vidal

Goals: Suarez 16, Messi 21 34

SAMPDORIA: Viviano; De Silvestri, Silvestre, Castan, Regini; Eramo, Torreira, Linetty; Schick; Muriel, Quagliarella

Subs:Puggioni, Tozzo, Barreto, Alvarez, Pereira, Palombo, Cigarini, Djuricic, Campaña, Skriniar, Budimir, Ivan

Goals: Muriel 23, Budimir 78

Leave a Comment