Beki wa Brazil, Marquinhos na wenzake wakishangilia bao l kwanza la Brazil dhidi ya Denmark alilofunga Gabriel Barbosa.
Gabriel akishindilia bao la nne na kuihakikishia ushindi timu yakeya Brazil dhidi ya Denmark
Neymar akimnong’oneza jambo Gabriel Jesus
Gabriel Barbosa akipiga shuti na kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi Denmark.
Gabriel Barbosa akibebwa na Neymar wakati wakishangilia bao.
Luan akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la tatu.
Neymar akimpongeza mfungaji wa bao la pili la Brazil, Gabriel Jesus.
Neymar na Gabriel Jesus wakichuana na beki wa Denmark, Andres Maxs
Neymar akijitosa kuruka kichwa.
Gabriel Jesus akishangilia bao la pili kwa Brazil.
Mashabiki wa Brazil wakishangilia.
Rio, Brazil
TIMU ya Taifa ya Brazil imefanikiwa kutinga Robo fainali ya michuano ya Olympic inayoendelea kufanyika mjini Rio nchini humo baada ya kuichapa Timu ya Taifa ya Denmark mabao 4-0 jana Jumatano.
Baada ya kutoa droo za bila mabao kwenye mechi zake mbili zilizotanguilia za Kundi A, Brazil ilihitaji kushinda mechi moja tu ili kujihakikishia kuingia hatua ya nane bora jambo ambalo Gabriel Barbosa, Gabriel Jesus na Luan walilifanya kwa kuifungia timu yao hiyo.
MATCH FACTS AND STATS








