×

JPM Awasili Dar Akitokea Mwanza Kwenye Ziara

magufuliisRais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia kuwasalimia wanaCCM waliofika kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, jijini Dar es salaam akitokea jijini Mwanza jana Ijumaa. 

magufulii

Nderemo, vifijo na matarumbeta yakipulizwa wakati wa kumlaki rais Magufuli.

magufuliiz

Rais Magufuli akipiga ngoma.

Leave a Comment